Nitawaheshimu Wanawake endapo watapinga na kukataa affirmative action

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Sipendi Unafiki na Upuuzi haiwezekani mnasema Wanawake mnatakiwa msikilizwe wakati hapo hapo mmeikubali affirmative action policy ( sera ya upendeleo maalum ) dhidi yenu. Kuna muda huwa nashindwa kuwaelewa Wanawake halafu nabaki tu kuwaonea huruma.

Logically tu hivi nyie Wanawake mtasemaje mnataka msikilizwe na sijui msikike halafu hapo hapo:

  1. Mnabwebwa.
  2. Hamjiamini.
  3. Wavivu wa kufikiri.
  4. Giogoi.
  5. Hampendani nyie kwa nyie.
  6. Waongo.
  7. Mnaongoza kufanya mambo ya hovyo hovyo.
Mwisho huwa mnanichekesha sana kwani huku duniani mnataka msikilizwe na kwenda sawa na sisi Wanaume wakati hata Vitabu vya Dini tu vimeweka wazi kuwa nyie mpo chini yetu na ndiyo maana hata mkatokea ubavuni mwetu sisi Wanaume sasa Watu wenyewe kumbe mmetokea mbavuni sasa mnatakaje tena tuwaheshimu na mshindane na sisi Wanaume? Kwahiyo leo hii nyie Wanawake mnataka kushindana na Mwenyezi Mungu?

Msimamo wangu GENTAMYCINE unaendana na wa Mungu kuwa Wanawake mtabaki tu kuwa chini yetu hadi mwisho wa dunia na acheni kila mara kuja na hivi vi kauli mbiu vyenu visivyo na tija kwani haitokuja kutokea sisi Wanaume tukakubali kuwa sawa nanyi au mtupande vichwani.

Tuvumiliane tu leo na naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom