Kwa mlothubutu kujiajiri na mkafanikiwa, ushauri wenu tafadhali

Bornventure

JF-Expert Member
Jan 29, 2017
529
523
Nimekuwa mtumishi wa umma, (mwajiriwa serikalini) kwa miaka mi 5 sasa lakini kadri siku zinavyokwenda sina hamu wala moyo wa kuendelea na kazi nawaza tu kujiajili au kuwa katika private org ila kuna ka uwoga kananikwamisha.

Nifanyeje?
 
Nimekuwa mtumishi wa umma, (mwajiliwa serikalini) kwa miaka mi 5 sasa lakini kadri siku zinavokwenda sina hamu wala moyo wa kuendelea na kazi nawaza tu kujiajiri au kuwa ktk private org. ila kuna ka uwoga kananikwamisha . Nifanyeje??
Acha kazi usiangalie nyuma
 
usiache kazi, unaweza fanya biashara na huku umeajiriwa. Faida ya kuwa mtumishi wa umma ni kwamba mwisho wa ni 3:30 pm baada ya hapo unafanya bzz zako kama kawaida. ila NGO kazi ni full time
 
Ni kweli ndugu nimeshaanza kujishughulisha na ufugaji na kilimo but hii ajira naona inakula muda wangu sana
 
Hakuna faida yoyote serikalini acha kazi na ufanye kazi zako mwenyewe utafanikiwa ila usikimbilie kuajiri mtu hutofanikiwa.
 
Back
Top Bottom