Habari iko sawa wana forum narudi tena kwa kukosoa serikali kwa kuzuia viroba ambavyo tayari viko sokoni. Viroba hivyo viko kwa wholesalers wameshavinunua na serikali ishapata pato hapo na kiwanda...
Nimechokwa na kila kosa kukutana na neno BASHITE.
Ukweli dunia na Tanzania hawapendi MTU afanyae mambo mazuri na yenye kuleta tija katika vizazi vijavyo.
Kuna mantiki gani kumwona Makonda Leo...
Habari!
Hivi clouds TV hamna wasomaji wengine? Kila Leo Kapiga Kapiga, mnakera sana yaani hata ukiona tu msomaji ni yeye hamu ya Habari inaisha.
Jirekebisheni basi, mtu mwenyewe huyo msomaji wa...
Habari wanajamvi?
Kumekuwa na msako nchi nzima unaendelea ili kuhakikisha viroba vinatokomezwa. Kwa maoni yako usitishaji wa biashara ya viroba utaathiri vipi JF?
1. Wachangiaji watapungua?
2...
Madhara ya matumizi ya pombe kupita kiasi nayajua,madhara ya sigara pia nayajua,je hizi pombe za viroba zina madhara gani tofauti na za chupa?Kama ni issue ya vifungashio,ni kemikali gani...
Wakuu habari za jioni nina udhoefu wa mda mrefu wa kutembembelea miji mbali mbali hapa nchini kwetu.
Na nimegundua kuwa baadhi ya miji miundo mbinu imekuwa hafifu sana ukilinganisha na miji...
Habari za usiku wana JF?
Nilikuwa naomba kama kuna mtu yeyote Anaoujua wimbo wa kwaito ambao unapigwa sana kwenye harusi na hata masherehe ambao kiitikio ni sauti ya kike inaitia
Nakupendaa aah...
Habari wadau,
Katika hali ya kustaajabisha tu nmejikuta mikononi mwa askari ambae alikuwa yupo katika kituo cha mwendokasi maeneo ya Kinondoni Morroco kwa kisa nimeruka toka upande mmoja wa kituo...
Heshima kwenu wakuu,
Kamanda Sirro wa Kanda maalum ya Dar e Salaam yupo kwenye Ziara Kinondoni. Kwa sasa yupo hapa Kijitonyama kwa Ali Maua.
Anasema watu wa Mkoani waje wafanye kazi halali na...
Katika hali ya kushangaza mwananchi mmoja amepata ujasiri wa kutaka kujaribu kupenya safu ya walinzi maalum wa viongozi mbalimbali waliopo katika msiba wa mama mlezi wa rais mstaafu ndugu Jakaya...
Anaandika Wakili Tundu Lissu.
Colleagues of the Bar and fellow citizens. Very cordial greetings from my side.
I'm compelled to write to refute, and to denounce, reports widely published in...
Hvi hili neno hapa nchini lina maana kweli maaana
1.hivi serikali Mara ya mwisho lini kuajiri?
2.Kitaa kuna wasomi wangapi hawaoni manufaa ya elimu yao?
3.hapa naona wanao wanaoteuliwa wengi ni...
NCHI ZA WATU JAMANI,,,,,,USILETE UBISHI
Natoka Harare naingia South A,nimefungulia mziki wa kawaida tu ndani ya GARI, mara naona Police wa Zimbabwe mbele yangu, sikuwaza kama watanipiga mkono,mara...
Mkuu salaam.
Naomba kukukumbusha kuwa kesi ya namba 9 ya kikatiba iliyofunguliwa na Mkiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura itaanza kusikilizwa leo saa...
HONGERENI SANA WANAWAKE HAKIKA NINYI NI MALKIA WA NGUVU.
Tarehe 8 march kila mwaka tunaazimisha siku ya wanawake duniani, katika maazisho ya 2017 naomba tukumbushane haya kwa pamoja.
Mwanamke...
Mzee wa miaka 60 mkazi wa Kijiji cha Isasa Wilayani Nkasi, Charles Gervais amejiua kwa kunywa sumu kutokana na kinachoelezwa kuwa ni wivu wa mapenzi
Taarifa za awali za Polisi zinaeleza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.