kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,098
Naomba kufahamu ofisi hizi mahali zillion
1.Efm
2.TV1
3.EATV
4.ofisi za mbunge wa jimbo la segerea
1.Efm
2.TV1
3.EATV
4.ofisi za mbunge wa jimbo la segerea
Efm ofisi zao panda gari zinazoenda kawe shuka kituo cha maringo rudi round about kama unaelekea mlalakuwa utaiona, tv 1ipo mikocheni huu upande wa kwa warioba, eatv panda gari za tegeta shuka kituo cha I.t.v ofisi za mbunge wa segerea nenda jimbo la segerea kwenye ofisi yeyote ya serikali za mtaa watakuonyeshaNaomba kufahamu ofisi hizi mahali zillion
1.Efm
2.TV1
3.EATV
4.ofisi za mbunge wa jimbo la segerea
Asante mkuuEfm ofisi zao panda gari zinazoenda kawe shuka kituo cha maringo rudi round about kama unaelekea mlalakuwa utaiona, tv 1ipo mikocheni huu upande wa kwa warioba, eatv panda gari za tegeta shuka kituo cha I.t.v ofisi za mbunge wa segerea nenda jimbo la segerea kwenye ofisi yeyote ya serikali za mtaa watakuonyesha