Serekali yakosea sana kuzuia viroba vilivyo sokini

28mkorinto

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
416
204
Habari iko sawa wana forum narudi tena kwa kukosoa serikali kwa kuzuia viroba ambavyo tayari viko sokoni. Viroba hivyo viko kwa wholesalers wameshavinunua na serikali ishapata pato hapo na kiwanda kinachotengeneza pia kishapata mapato yake hawa ma wholesaler masikini wengine hata mizigo yao ni mkopo kwanini serikali haiangaliii upande wa pili. Same na swala la asilimia 15% kwa bodi ya mikopi kuna watu wanaondoka na 60000 kama mshahara baada ya kukatwa kila kitu hivi huwa huwafikirii kwanza au hawafanyi utafiti wowote kwanza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom