Kwanini baadhi ya halmashauri za miji miundombinu ni dhaifu?

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,987
1,209
Wakuu habari za jioni nina udhoefu wa mda mrefu wa kutembembelea miji mbali mbali hapa nchini kwetu.

Na nimegundua kuwa baadhi ya miji miundo mbinu imekuwa hafifu sana ukilinganisha na miji mingine.

Nitoe mfano tu wa miji kama Iringa, Songea na Moshi. miundo mbinu yake iko vizuri tafauti na miji kama Singida, Tabora na Kigoma.

ukiachilia mbali miradi ya barabara inayosimamiwa na h/mashauri hata majengo yanayojengwa na h/mashauri hizo hayako katika ubora unaotakiwa.

Hii inatokana na nini watendaji kutokuwa na utalamu wa kutosha kusimamia miradi hiyo? au mabaraza ya madini hayana uwezo wa kuwasimamia watendaji hizi ni baadhi tu ya h/mashauri.
Najua hii itawagusa wengi hasa watendaji wa h/mashauri na madiwani kwani baadhi huko ndiko wanakonufaika.

naomba uzoefu wenu tafadhali.
 
Back
Top Bottom