Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 69,881
- 183,937
Habari wadau,
Katika hali ya kustaajabisha tu nmejikuta mikononi mwa askari ambae alikuwa yupo katika kituo cha mwendokasi maeneo ya Kinondoni Morroco kwa kisa nimeruka toka upande mmoja wa kituo na kwenda mwingine.
Ubaya hakukua na notification/ signal yoyote inayoonesha kuwa mtu hatakiwi kukatiza pale nikapelekwa chemba kuoneshwa fine natakiwa nilipe laki 1. Nikapiga akili maana ni muda sikuwapo Dar na sina taarifa yoyote kuhusiana na regulations zao askari nikamnyawisha na mteze jon lungu nikaondoka zangu.
Ila imeniuma sana yani inakuwaje mtu unakamatwa kwa vitu vya kipuuzi kama hivyo. Eti ni kuchangia kodi ya nchi!!
Ina maana serikali imeshindwa buni vyanzo halali vya kodi mpaka kufikia kukamata watu hovyo jamani? Where is the country heading eti?