Hivi madhara ya pombe iliyofungashiwa kwenye plastic ni yapi?TFDA tuambieni!

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,634
7,010
Madhara ya matumizi ya pombe kupita kiasi nayajua,madhara ya sigara pia nayajua,je hizi pombe za viroba zina madhara gani tofauti na za chupa?Kama ni issue ya vifungashio,ni kemikali gani inaathiri pombe Kali ya kiroba ukilinganisha na pombe Kali za chupa?Kama madhara yanafanana,basi serikali imewaonea sana wafanyabiashara!Kesho itakuwa sigara na keshokutwa itakuwa pombe Kali zote hatimae bia
 
Back
Top Bottom