Huyu Mh. Paul Makonda ambaye ni Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam kwa kweli hapo mwanzo sikuwa namkubali kabisa hasa wakati anapewa ukuu wa mkoa.
Hii ni kutokana na zile story za kumpiga mzee...
Lissu alimuonyesha shahidi huyo gazeti la Mawio la Januari 14, 2016 na kumtaka amweleze
Hakimu Simba idadi ya aya za makala inayodaiwa kuwa ya uchochezi iliyokuwa na kichwa
cha habari cha...
Katika tukio la jana kunyesha mvua kubwa Jijini Dar mpaka kutokea mafuriko na mwananchi mmoja kupoteza maisha kutokana na hayo mafuriko, mtangazaji wa Global TV alienda pale na kuanza kuhoji...
Kama aliyeghushi vyeti anastahili kuwa mfanyakazi wa serikali.
1: Waliotumbuliwa kwa vyeti feki wana haki ya kurudi kazini?
2: Atakayewarudisha kazini itabidi awasafishe kwa fidia maana itakuwa...
Mweneyekiti wa serikali ya Mtaa wa yombo Bwana Athuman Maembe amesema kundi la kiharamia la watoto wa Mbwamwitu linaraditibiwa na Mtoto wa Mzee Lukosi.
Kundi hili linafanya uporaji wa mali za...
OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS), imesema Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa kipindi cha mwezi Agosti Umepungua kwa asilimia 4.9 kutoka asilimia 5.1 katika kipindi cha mwezi Julai 2016.
Hiyo inamanisha...
Professor Ndalichako hasa vijana wakitanzania wamekukosea nini.
Takriban vijana zaidi ya elf 10 umewaharibia ndoto zao eti ni wanafunzi hewa.Kuna vijana wamesha graduate ila huwatambui na kuwaita...
Hii habari njema kwa Kwa uhakika wa ulinzi wetu,huwa nasikia so proud nikiona uwezo wetu kijeshi ukoje,na nikiangalia wenzetu dunian wako wapi ki nguvu, kwa fedha tuliyo nayo basi tujilinde...
Kuna mambo matatu muhimu sana kila mmoja wetu anatakiwa kujua kuhusu maisha, ili kuweza kuwa na maisha bora na yenye mafanikio. Na hapa mafanikio ni vile wewe unavyoyaona maisha yako kwa ubora...
Jaman hawa wanajeshi wa jeshi la anga wanatutisha kila siku mazoezi hapa mjini(Dar) bila taarifa mbona mnatushtua kiasi hicho ndege zenyewe zinapita karibu sana na surface toeni taarifa basi tujue...
Nawasikia sana vijana ama kwa utani au kwa kupeana makavu wanapohitalifiana wakiambiana kuwa UTAJIBEBA! Ni neno rahisi kweli na pengine la kizushi hasa kwa muktadha wao...lakini katika ulimwengu...
Amani itawale!.
Andiko hili ni kwa wenye kuutafuta uzima wao, wenye kutaka kujua ilipo hatima ya roho zao. Basi isomeke kwa hekima kwa wale wenye hiyo hekima na upumbavu kwa walio wapumbavu...
Lema aliza waumini wakati akitoa sadaka ya shukrani.
Mbunge wa Arusha na mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Godbless Lema leo akiongozana na mkewe na wanae ametoa sadaka ya shukrani kwa Mungu ndani ya...
Wakuu mm navyojua JF inamilikiwa na boss Maxense Mello na boss Mike Mushi sasa inakuaje misuko suko yote inampata Maxense Mello pekee lakini Mike Mushi hausishwi?
Kitambulisho vya taifa vinaandikishwa bure au Luna malipo? Nimepita baadhi ya maeneo ni tsh.600,mara400.mara200.je,ni serikali imepanga gharma hizo? Kwa nn serikali isiwalipe wataalamu? Kama MTU...
Barabara hii ilijengwa na kampuni ya Del Monte kwa gharama kubwa sana. Baada ya wiki moja tu ilibanduka na kulainika kama biskuti kwenye chai ya maziwa.
Kwa sasa ni kero kubwa na hakuna mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.