Tetesi: Natafakuri ya kuunga mkono mambo yasiyo na mantiki

poisson

Senior Member
Jul 17, 2016
130
42
Nimechokwa na kila kosa kukutana na neno BASHITE.

Ukweli dunia na Tanzania hawapendi MTU afanyae mambo mazuri na yenye kuleta tija katika vizazi vijavyo.

Kuna mantiki gani kumwona Makonda Leo ni mbaya na kushabikia ujinga kwa watu wanaompiga na kumfanya avunjike moja moja...

Makonda be strong we need hero's like u save our society.......

Inauma sana think twice kam ingekuwa wew ni mmoja wa mhanga wa madawa na unahitaji kusaidiwa then inatokea mtoa msaada anaonekana mbaya katika jamiiii

Hayo tu
 
Umesoma vizuri ulichokiandika kabla ya kupost? Unafuatilia vizuri undani wa vita dhidi ya madawa ya kulevya? Anza na utawala wa Mwl, Mzee ruksa, Mzee wa uwazi na ukweli, vipi kuhusu mzee wa ari mpya nguvu mpya na kasi mpya? Kuna watu wamepoteza maisha yao kwasababu tu ya ufuatiliaji wa biashara ya drugs mkuu.

Siku zote ni vema kufanya tafiti kabla ya kufanya mambo. Kifupi ni kwamba biashara hii inaweza kukomeshwa na kutokomezwa na Mungu pekee sio binadamu kama wewe na mimi. Mifano hai ipo, ukiitaka itafute na kama huamini jitokeze hadharani uone yatakayokupata
 
Back
Top Bottom