James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
NCHI ZA WATU JAMANI,,,,,,USILETE UBISHI
Natoka Harare naingia South A,nimefungulia mziki wa kawaida tu ndani ya GARI, mara naona Police wa Zimbabwe mbele yangu, sikuwaza kama watanipiga mkono,mara naona mmoja kaingia barabarani na kuninyooshea mkono kuashilia Tayar natakiwa kupaki gari pembeni,
Mwanaume nikapaki GARI pembeni,
Askar amekagua vyote safi,TATIZo linakuja ananiomba Risit ya Radio!!ha ha ha ha....
Yaani kibali cha kuruhusu kutumia Radio,!!!!!
Duuuh,nimechoka mwenyewe,yaani kumbe Zimbabwe unatakiwa ulipie Radio yako ya gari ili uweze kutumia,,
Dollar 10 imenitoka,
Na tena hawataki Bond Noti....
NCHI ZA WATU JAMANI .......
NI SHIDAH.......