Fundisi Muhapa JF-Expert Member Nov 25, 2013 4,422 2,112 Mar 8, 2017 #2 Unaweza kuchagua rafiki ila si jirani. Hawa wetu ni kichefuchefu hasa. Wao utalii maana yake ni kuiba vya jirani na kuita watu kuvionea kwao. Ndio maana tunaendelea kuwapiga bao kwenye utalii kila uchao. Wao waendelee kudanganyana sie kimyakimya tunalisongesha.
Unaweza kuchagua rafiki ila si jirani. Hawa wetu ni kichefuchefu hasa. Wao utalii maana yake ni kuiba vya jirani na kuita watu kuvionea kwao. Ndio maana tunaendelea kuwapiga bao kwenye utalii kila uchao. Wao waendelee kudanganyana sie kimyakimya tunalisongesha.
kkenzki JF-Expert Member Oct 27, 2012 1,493 2,473 Mar 8, 2017 #5 Tusubiri mwenyewe apost, maana alivyokuwa Egypt kabla ya Tanzania alipost Facebook