Hotel ya kuanzia elf 20 kushuka Iringa stand

Nkungulume

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,987
Reaction score
1,210
Wakuu Habari za mda huu tafadhali kwa mwenye ufahamu na Hotel nzuri maeneo yanayozunguka Iringa stand
 
Hotel ya 20 si utapewa room ya mazoezi ( short time) acha ubahili tafuta japo ya 40 au 50
 
Mkuu umeniacha kidogo hapo uliposema "Hotel ya elfu 20 (kushuka)"unamaanisha kuanzia elfu 15,10 hadi elfu 5?au unamaanisha "elfu 20 UKISHUKA STAND YA IRINGA"?(Heading)
 
Bei ni kuanzia elfu 20 mkuu typing error
 
Uliza Kalenga hotel halafu upande wa pili was barabara kuna Anex inaanzia 20 hadi 50 in pazuri nimelala hapo last month unatembea tu kutoka stendi uko pembeni ya barabara kuu asubuhi unapewa na break fast na ina bar hapo ndani.
 
ACHENI UTANI HAPO IRINGA KUNA HOTEL YA GHOROFA INAITWA RIKI HOTEL KAMA SIKOSEI IPO JUU YA MASHINE TATU KAMA UNAELEKEA KANISA LA MSHINDO...BEI NI 20000. PAZURI SANA NA USALAMA WA KUTOSHA.
 
Asante mkuu
 
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom