Kupigwa BAN biashara ya viroba hapa Bongo kuna athari yeyote kwa member wa JF?

Uta Uta

JF-Expert Member
Feb 2, 2016
3,739
8,736
Habari wanajamvi?
Kumekuwa na msako nchi nzima unaendelea ili kuhakikisha viroba vinatokomezwa. Kwa maoni yako usitishaji wa biashara ya viroba utaathiri vipi JF?
1. Wachangiaji watapungua?
2. Mada zitapungua?
3. Michango itakuwa bora au ya hovyo zaidi?
4. Matusi yatapungua au kuongezeka?
5. Hakutakuwa na athari yeyote?
Toa maoni yako
 
NAONA UKAGUZI WA VYETI FEKII UMEKUATHIRI MLETA MADA
 

Attachments

  • ht-ft-2.pdf
    659 KB · Views: 61
  • downloadfile-1.jpg
    downloadfile-1.jpg
    37.8 KB · Views: 18
Huku mtaani kwetu vinauzwa kwa siri bado ila unanunua kuanzia vitatu halafu jina lake sio viroba tena.
Vinaitwa tarehe moja.
 
Back
Top Bottom