Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Mkuu salaam.
Naomba kukukumbusha kuwa kesi ya namba 9 ya kikatiba iliyofunguliwa na Mkiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe dhidi ya RC Makonda, RPC Sirro na ZCO Wambura itaanza kusikilizwa leo saa 7 mchana Mahakama Kuu ya Dar es Salaam.
Baada ya kesi mahakamani, Mwenyekiti Mbowe akiambatana na viongozi wengine wa chama atakwenda kushiriki mazishi ya Mama yake Mwenyekiti Mstaafu wa CCM na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Bi. Nuru Khalfani Shomvi, huko Bagamoyo.
==================
Freeman Mbowe amefika mahakama kuu muda huu kwa ajili ya kuanza kusikilizwa kwa kesi ya kikatiba dhidi ya mkuu wa mkoa wa DSM na wenzake .
Kesi ya kikatiba ya Mbowe dhidi ya RC DSM na wenzake imetajwa, Jaji ameamua hoja zitasikilizwa kwa njia ya maandishi, kesi itatajwa March 30