Binti Msichana
Senior Member
- Oct 9, 2016
- 109
- 247
Katika hali ya kushangaza mwananchi mmoja amepata ujasiri wa kutaka kujaribu kupenya safu ya walinzi maalum wa viongozi mbalimbali waliopo katika msiba wa mama mlezi wa rais mstaafu ndugu Jakaya Kikwete.
Viongozi mbalimbali walikuwepo msibani akiwemo waziri mkuu Majaliwa , waziri mkuu mstaafu ndugu Pinda, Mwenyekiti wa Chadema pamoja na viongozi wengine.
Bado haijaeleweka mwananchi huyo alikusudia nini kwa kwenda meza kuu ya viongozi.Mwananchi huyo ameonekana amebeba bahasha, labda alikuwa ana shida binafsi ya kutaka kuongea na mmoja was viongozi waliopo msibani
Hata hata hivyo wanausalama walimdhibiti mwananchi huyo mwenye ujasiri koko.