Naomba msaada wa ujuzi.

Mukundumbusya

Senior Member
Aug 11, 2016
168
142
Habari nduguzanguni.
Naomba msaada wa kupata ujuzi wa kutengeneza SABUNI YA UNGA.
natanguliza shukrani
 
Mkuu sina ujuzi ila nivyema uka Google mada kama izo zimejaa utapata maelezo yakutosha
 
Ahsanteni wachangiaji. Msisite kuchangia kingine chochote mtakachokipata kulingana na ombi langu. Barikiwa sana
 
Back
Top Bottom