Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kutokana na agizo la serikali lililopiga marufuku uzwaji wa viroba hapa nchini Kiwanda cha TDL maarufu kama Kiwanda cha Konyagi kimeanza kufunga virago na kupunguza wafanyakazi, baada ya kuona...
10 Reactions
168 Replies
17K Views
Katika maisha yangu numebahatika kuwa karibu na watu wa aina zote jambo linalonifanya kujifunza mengi zaidi. Wanamke katika jamii wamekuwa na mchango mkubwa hasa kutokana na uwezo mkubwa wakiokuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nadhani sisi watumiaji wa barabara ni mashuhuda wa jinsi barabara kubwa zilivyoharibika kwa kupitisha magari yenye uzito mkubwa. Mimi in mtumiaji wa barabara hiyo kila siku. Imesaidia sana kwa...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) limetoa siku 14 kwa wadaiwa sugu kuhakikisha wanalipa madeni yao. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kaimu mkurugenzi wa Shirika hilo, Tito Mwinuka amesema...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Wakuu kama sikosei mwezi uliopita alisikika Mchungaji Anthony Lusekelo kwenye ibada ya jumapili kanisani kwake huko ubunge kibangu, akimtolea povu Msanii Emanuel Elibariki aka Nay Wa Mitego, kisa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna madai au imani iliyojengeka kuwa Watanzania au Waafrika kwa ujumla ni wavivu. Dhana hiyo inanipa shida kwani naona watu wengi wanahangaika sana ili kukidhi mahitaji yao. Je ni kweli Wa TZ...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Nimeona mmeanza kumtumia vizuri Will Smith. Star kama huyo atatusaidia sana kututangaza. Hata majirani wanao tumia mgongo wetu kupata watalii watatulia. Lazima dunia ijue kuna tofauti ya Tanzania...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hii ni zawadi kwa waungwana kuhusu ukweli kuhusu moyo.Kwa wale tunao amini uwepo wa Mola muumba ukweli huu tunapaswa kuujua na kuufanyia kazi.Wale wasio amini uwepo wa Mola wanaweza kuchagua moja...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Miaka ya nyuma kidogo vyombo vya habari vilirusha sana matukio ya ujambazi ktk mkoa wa Kilimanjaro. Tuliwasikia akina Kamanda Tossi enzi hizo. Kama miezi kadhaa imepita,sijasikia tukio la uhalifu...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Wakuu ni kama mara ya tatu sasa tangu asubuhi leo nywele (za kichwani ;)) zinanicheza/zinasisimka. Hii inaashiria nini kwa wale wenye uelewa juu ya haya mambo...au ndio u-rc dasalam unanukia...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Karibu kwenye Ibada ianyoendelea hapa Kimara. Ibada ni nzuri sana na utukufu wa Mungu umetamalaki. Mkuu wa mkoa wa Dar kaungana na sisi kwenye hii ibada, ameguswa na ibada...
12 Reactions
820 Replies
89K Views
Siku zote ninazomuona akiwa ktk televisions zetu hizi na hasa hasa ya itv amekuwa ni mtu tu wa kuponda, kushutumu na kusanifu kila juhudi za ccm na serikali yake. Yaani kifupi anaonekana ana...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
NINA NIA YA DHATI KABISA KUGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2010. Mambo nitakayowafanyia 1.Nitawachekea chekea ili mnipigie makofi 2.Kila mazishi nitahudhiria 3.Nitapiga picha na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mh nimesema hivyo kutokana na kile kilichosababisha kuifungia kona baa basi hauna budi kuifungia LA CHAZ PUB kwani kilichosababisha kufungwa kona baa ndo kimehamia LA CHAZ PUB usipo fanya hivyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
[emoji177] no wonder I was feeling a little weird ... Too many cravings and I didn't realize it [emoji33], now I really can't wait! Its only 8months before having you in my arms [emoji173]. I...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
Napenda kuwasalimia watu wa humu ndani amani ya Bwana iwe nanyi Leo tumeona kamanda LEMA wamemtoa baada ya kukaa miezi nne gerezani LAKINI KUNA WATU WAPATAO 300AU ZAIDI YA HAPO WAMEFUNGWA KWA KESI...
14 Reactions
112 Replies
9K Views
Clouds Media nawashangaa sana! huwa mnaonesha udhahifu mara nyingi. Leo nimeona tangazo juu ya siku ya wanawake, likionesha jinsi Tanzania ilivopiga hatua kwa kuwa na wanawake walioshika...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Mvua iliyonyesha leo Dar imeleta maafa sana kwani hadi sasa watu kadhaa wamekwama kwenye maji maeneo ya Jangwani Mto Msimbazi. Jeshi la Uokoaji limeshafika na vifaa maalum vya uokoaji. Ila...
8 Reactions
115 Replies
22K Views
Ni kuhusu madhara ya maamuzi mabovu ya kisiasa dhidi ya ujengwaji wa Uchumi wa Nchi. Sikiliza Hii. Kwa hisani ya Millardayo.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom