Balozi wenu
Member
- Mar 7, 2017
- 32
- 22
Professor Ndalichako hasa vijana wakitanzania wamekukosea nini.
Takriban vijana zaidi ya elf 10 umewaharibia ndoto zao eti ni wanafunzi hewa.Kuna vijana wamesha graduate ila huwatambui na kuwaita hewa.Sasa hwa TCU walifanya kazi gani.Huo ulio nao ni wivu wa kike kutaka vijana wa wenzako kuwakatisha tamaa ya maisha.Wewe mama mbona una roho mbaya kiasi hicho au ni woga wa kutumbuliwa kwa vile hukuchaguliwa na wananchi?.
Kwa taarifa yako hatuoni mchango wako kama professor na hatujui huo mchango umetoa wapi zaidi ya kula kodi zetu.Wewe na Lipumba sawa sawa hata sura zenu mumefanana.
Haiwezekani vijana wetu mwaka juzi TCU waliwatambua na wakawa enrolled vyuo tofauti ila baada ya hofu ya kutumbuliwa tu mukawasiliti vijana wetu.Hivi unajua kua hawa ni watoto wa masikini??
Kule visiwani kila mwanafunzi ambae alitokea diploma basi huyo ni hewa.
Hakika mswahili akipata matako hulia mbwata.
Amerika na kuhamasisha usawa wa jinsia basi wameshindwa kueka Raisi mwanamke,Wala wakuu wa Vyombo vya usalama.Hawa ndugu zetu ukiwapa mamlaka ni wabaya mno