Jickson Nkulikwa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 104
- 52
Kitambulisho vya taifa vinaandikishwa bure au Luna malipo? Nimepita baadhi ya maeneo ni tsh.600,mara400.mara200.je,ni serikali imepanga gharma hizo? Kwa nn serikali isiwalipe wataalamu? Kama MTU hana,tunafanyaje au ndio imekula kwake?kama hakuna mkono wenu serikali chukua hatua,nipo tayari kuwapa ishirikiano.na kwa nn bei ni tofauti? Kitambulisho ni haki ya kila mtanzania,Tuandikishwe bure mbona mpiga kura ni bure na kidogo kuliko hiki?naomba tumajibu tafadhali!!!!!!