FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,888
- 43,774
Barabara hii ilijengwa na kampuni ya Del Monte kwa gharama kubwa sana. Baada ya wiki moja tu ilibanduka na kulainika kama biskuti kwenye chai ya maziwa.
Kwa sasa ni kero kubwa na hakuna mfano, hii njia itengenezwe ili maelfu ya wakazi wa Tabata wanaoitegemea waone faida ya kubana matumizi.
====================
UPDATE: Naona hatua za uwekaji lami zikiendelea vizuri, angalau, ila i hope this time si lami ya biskuti
====================
UPDATE: Leo Tarehe 08/03/2017, nimepita hapo na kukuta Lami ikiwa imetandikwa mubashara, kama ulaya. Nitawapa tena updates endapo itaanza tena kumong'onyoka tena kama biskuti kwenye chai ya maziwa. By the way, tangu niweke bandiko na kukamilika kwa ujenzi wa haka kakipande kasichozidi 1km imechukua mwaka mzima!