Wadau,
Tuliahidiwa ikifika march huduma hii itaanza ajabu leo tarehe 10 hakuna anayeongelea wala kuiliuzia, binafsi sijapokea tena sms toka kwenye mitandao ya simu kuniarifu kuwa sasa ninaweza...
Island of the dolls, Xochimilco, Mexico
Kisiwa cha midoli (Isla de las Munecas) kinachopatikana jiji la Mexico, Xochimilco, ni mojawapo ya mahala maarufu paogofu juu ya uso wa dunia. Ni mahala...
Matangazo ya mpira wa ligi kuu Tanzania bara na yale ya nchi jirani yameanza kuwa na dosari. Kwa mtu mgeni anaefungua tv kuangalia matangazo hayo hataelewa kama matangazo hayo ni LIVE au RECORDED...
Salaam,
Nawapongeza sana kina mama kwa kusherekea siku Yao hapo jana.
Niweke bayana kuwa sina nia mbaya ya kuwatoa kwenye mjadala wa muhimu na wa kitaifa unaendelea sasa kuhusu MAKONDA vs...
Katika hali ya kusikitisha,mam amemsulubu mtoto nusura ya kumuua. Mama huyo ambaye hakufamika Mara moja asili yake hapa nchini,alionekana akitumia lugha ambayo Mimi siijui. Naimani kama ni...
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia...
Nlipohitimu kidato cha 4 na kujiunga kidato cha 5 nilifurahi sana na nlpanga mikakati ya kuhakikisha ninafaulu kwa daraja la juu.Niliamini nitafaulu kwa kuwa nilijua "kama nimeweza kusoma masomo 9...
Wakizungumzia sakata la kufunguliwa kesi mbili zilizofunguliwa Dodoma na Dar-es-salaam kukataa uchaguzi usiendelee, Kibonde amesema ni hoja ya kitoto.
Wanasema taaluma zipo tofauti tofauti kama...
Nilikua naangalia Ayo tv on u tube ambao walikwenda Comoro kuripoti game Yanga na Ngaya...nimeshangazwa kidogo kusikia hela ya Comoro nchi inayo import almost everything toka nje hela yao iko juu...
Watu wa Vodacom habari zenu,
Haya ni malalamiko yangu, hivi inakuwaje meneja wa kanda ananinyang'anya TILL YANGU ya M-pesa Na kumpa mtu mwingine? N
Na wakati huo huo till hiyo nilikuwa...
Asilimia kubwa ya WANAWAKE ni aina ya watu waliokuza watoto wao katika mazingira magumu, mateso, machungu na kunyanyasika kwa hali ya juu mara nyingine, na walikubali kupitia hayo ili tu MTOTO...
Ni mara ya pili nimemsikia Mheshimiwa Zitto, akiongea Bungeni kwa msisitizo kuwa Mwanza Airport ni uwanja nyeti na unatakiwa uendelezwe kuwa Serengeti International Airport hususani kwa ajili ya...
Nimekuwa mdau wa usafiri kwa muda mrefu na kati ya watu niliokuwa nawaogopa ni TRAFIK POLIS,kwa kuwa wengi ni jeuri na kiburi sana,lkn kwa afande trump(sio jina lake)ni mfano bora,yeye huamka saa...
Taarifa zilizodhibitishwa na E FM ni kwamba Mkurugenzi wao Majizo atakuwa na mkutano na waandishi wa habari Leo.
Haijajulikana anachotaka kuzungumza lakini inahusishwa na kujibu tuhuma za madawa...
Hivi majuzi makampuni ya simu nchini yalikaa meza moja kunywa na kula pamoja. Huku lengo ni kuyakutanisha katika makutano moja. Tigo, halotel, zantel, zain na vodacom kuwa katika hekalu moja! Ni...
Tanzania ina upungufu wa madaktari wa figo kwani nchi nzima ina madaktari kumi hivyo kufanya shughuli za matibabu ya magonjwa ya figo kuwa magumu sana.
Chanzo: ITV
Kutokana na agizo la serikali lililopiga marufuku uzwaji wa viroba hapa nchini Kiwanda cha TDL maarufu kama Kiwanda cha Konyagi kimeanza kufunga virago na kupunguza wafanyakazi, baada ya kuona...
Katika maisha yangu numebahatika kuwa karibu na watu wa aina zote jambo linalonifanya kujifunza mengi zaidi. Wanamke katika jamii wamekuwa na mchango mkubwa hasa kutokana na uwezo mkubwa wakiokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.