Nauli ya bus toka Kampala mpaka Dar

itongo

JF-Expert Member
Aug 16, 2016
201
150
Wana jamvi habari zenu! Naomba msaada wa kujuzwa nauli ya bus luxury toka Kampala mpaka Dar. Natanguliza shukurani.
 
kama upo dar nenda ubungo... ulizia ofc za spider au taqwa... ila haipungui laki moja... n laki kwenda mbele...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom