Namtafuta Bw. Mwina Kaduguda

Namtafuta Bw. Mwina Kaduguda

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,949
Reaction score
7,201
Naomba msaada wa haraka wa contact information ya Bwana Mwina Kaduguda.

Natanguliza shukrani.
 
Naomba msaada wa haraka wa contact information ya Bwana Mwina Kaduguda.

Natanguliza shukrani.

Ukianza kunywa Gongo utagongana nae kirahisi Vijiweni na bila shaka mtamalizana huko huko Mkuu. Kila la kheri katika kumtafuta Kwako.
 
hahaha! Mbona mnanitisha wazee? Mnadhani siyo mtu wa kuaminika, kumtafuta kuongea naye mambo ya maana? Mkinipa maelezo zaidi mnaweza kuniokoa labda na janga!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom