emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 543
Hii habari njema kwa Kwa uhakika wa ulinzi wetu,huwa nasikia so proud nikiona uwezo wetu kijeshi ukoje,na nikiangalia wenzetu dunian wako wapi ki nguvu, kwa fedha tuliyo nayo basi tujilinde wenyewe siyo ukichokozwa kidogo unaomba msaada,unachapa alafu ndio mnafanya mazungumzo mezani.