Hivi kwa nini Mike Mushi hausishwi kuhusu sakata la JF

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,477
25,403
Wakuu mm navyojua JF inamilikiwa na boss Maxense Mello na boss Mike Mushi sasa inakuaje misuko suko yote inampata Maxense Mello pekee lakini Mike Mushi hausishwi?
 
Naomba nitoe angalizo hapa sina nia ya kumchongea Mike Mushi bali nataka kujua tu
 
Back
Top Bottom