Wewe hata noti ya dolari hujawahi kuiona sasa unatarajia kuiona ajabu kweli?!!!Kipi cha ajabu kwani?
Nifafanulie sasa ww mwezetu uliyewahi kuona dolari ili nione ajabu wa hizo takwimu.Wewe hata noti ya dolari hujawahi kuiona sasa unatarajia kuiona ajabu kweli?!!!
Kwani wewe unajua kuhesabu!? Mimi naona unajua kusoma na kuandika tu!!!!Nifafanulie sasa ww mwezetu uliyewahi kuona dolari ili nione ajabu wa hizo takwimu.
Yote hayo yanatoka wapi mkuu, swala si ni kufafanua, haya mzee wa mahesabu.Kwani wewe unajua kuhesabu!? Mimi naona unajua kusoma na kuandika tu!!!!
Mahesabu ni ajabu yako.
Tuliza mshono.
Ha ha haHivi sijaona vizuri au Ni sahihi Dollar 1 = 221,520 tzs
Inahusiana na shule mkuuYote hayo yanatoka wapi mkuu, swala si ni kufafanua, haya mzee wa mahesabu.
Gawa kwa mia.Hivi sijaona vizuri au Ni sahihi Dollar 1 = 221,520 tzs