kiamangwana
Senior Member
- Feb 28, 2015
- 175
- 89
Nimekuwa mdau wa usafiri kwa muda mrefu na kati ya watu niliokuwa nawaogopa ni TRAFIK POLIS,kwa kuwa wengi ni jeuri na kiburi sana,lkn kwa afande trump(sio jina lake)ni mfano bora,yeye huamka saa 11 alfajiri na kuingia bus stand,na kuanza kutoa maelekezo/taratibu /kanuni za udereva bora,na pia hutoa nafasi ya maswali kwa dereva/abiria,pia hataki kuogopwa husema kwa upendo na mwisho atatoa no za simu iwapo dereva ataona ameonewa..hongera afande TRUMP tupo pamoja,,,.