Kibonde Clouds fm: Ni hoja ya kitoto kukataa Lissu asigombee TLS

afsa

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
1,986
1,585
Wakizungumzia sakata la kufunguliwa kesi mbili zilizofunguliwa Dodoma na Dar-es-salaam kukataa uchaguzi usiendelee, Kibonde amesema ni hoja ya kitoto.

Wanasema taaluma zipo tofauti tofauti kama vile CWT, Udaktari nk kama leo ukiwakatalia watu wenye taaluma zao wasigombee kwa sababu ni wanachama wa CHADEMA ni utoto.

Serikali kukataa Tundu Lisu asigombee ni utoto, aachwe agombee.
 
Bahati yenu sizonje alikuwa anaongoza kikao.ruge jiandae vinginevyo kesho unaweza kuongezwa kwenye orodha.
 
Afute muhimbili hospital na mt. Kilimanjaro. Na kama uchaguzi unafanyikia arusha afungie kabisa huo mkoa. Hatutaki fyoko fyoko.
 
Back
Top Bottom