comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Tanzania ina upungufu wa madaktari wa figo kwani nchi nzima ina madaktari kumi hivyo kufanya shughuli za matibabu ya magonjwa ya figo kuwa magumu sana.
Chanzo: ITV
Chanzo: ITV