magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,337
Wanabodi;
Salaam,
Nna hakika suala la Daud Bashite litachukua Sura mpya kuanzia kesho. Na ndo itakuwa mwisho wake. Tangu aingie madarakani mwishoni mwa mwaka 2015,Rais magufuli alikuwa akimsifia sana mkuu wa mkoa wa Dar.
Huyu ndo mkuu wa mkoa pekee aliyesifiwa sana hadharani! Kwa bahati mbaya huyo aliyemsifia ndo kawa wa kwanza kumuaibisha Rais wetu.
Ukiacha mkuu wa mkoa,wengine waliosifiwa ni kituo cha Radio na Tv vya Clouds media. Rais vyombo hivi amevisifia hadharani na hata kupiga simu katikati kipindi na kutoa maoni.
Vituo hivi ndivyo vilivyokuwa vimemkumbatia RC wa dar,vimejaribu kufanya poropoganda kumlinda Daud lkn vinaenda kuambulia aibu. Baada ya kuisha sakata la ndugu Daud vyombo vya clouds navyo vitatikiswa kwa kishindo kikuu..! Hawa jamaa wanakashfa za kutisha na zitaanza kuibuliwa mara tu baada ya Daudi kukubaliwa kujiuzuru hiyo kesho km atafanya hivyo..!!
Nawasilisha..