Wana Ilala tumepeta msiba mzito wa kuondokewa mama yetu kipenzi Siti Mwasa

Rubawa

JF-Expert Member
Dec 25, 2015
2,055
3,246
Ni Mwana Dar es Salaam na kada wa CCM na alikuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa Ilala Kasulu

e928d7f4bc1e12fc89b9ecb25195f751.jpg
f7e5c25b11b6518e103ac4834227b779.jpg
2c718c60576dba045ec84d0b73ec3ed5.jpg
 
Funguka mkuu ni nani huyo, mungu amlaze mahali Pema peponi amiina!!
 
We jamaa mbona unaandika utadhani unakimbizwa?.

Tueleze SITI MWASA ni nani, ana wasifu gani?.
 
Mama yetu ilala ni mwana CCM na mwenyekiti wa serikali ya mtaa ilala kasuru kifupi naweza kusema ni mwana Dar es Salaam
Ni mtaa Wa kasulu mkuu badilisha watu watakuwa hawaelewi ...Nway ahsante Kwa taarifa..Barikiwa!!
 
Mi mgeni sawa. Kwani wanaotumia hii JF wote ni wenyeji wa Ilala?.

Huwezi ukaandika kitu halafu ukaashumu watu wote wanaelewa hicho kitu.
Ukiona hivyo uje ilikuwa sio ujumbe wako naweza kusema haya kuhusu ndugu yngu
 
Ukiona hivyo uje ilikuwa sio ujumbe wako naweza kusema haya kuhusu ndugu yngu
Nyie watoto wa BRN mnasumbua sana. Ivi taarifa zinazokuja humu JF huwa ni special for someone?. Kwaiyo mimi sihitaji kujua?.

Au unajifunza kutoa taarifa?. Inshort hujui kutoa taarifa.

Eti hainihusu ?. Taarifa zote zinazokuja humu JF zinawahusu wanaJF wote nikiwemo na mimi, kama hutaki wanaJF tujue habari za Ilala uwe unawatangazia hukohuko kijijini kwenu ilala sio kupost humu.
 
Kifupi hiyo ni hbr ya wana CCM wana Dar es Salaam pamoja na watu wa Ilala mbona nyie mna kuwa matangazo yenu na vyama vyenu hkn nae piga kelele
 
Back
Top Bottom