Video: Mama aua mwanae, kina mama Mungu anawaona mjue

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Katika hali ya kusikitisha,mam amemsulubu mtoto nusura ya kumuua. Mama huyo ambaye hakufamika Mara moja asili yake hapa nchini,alionekana akitumia lugha ambayo Mimi siijui. Naimani kama ni mtanzania watu wataelewa kabila analozungumza huyu mama na wataelewa anapoishi.
 
Attachments

  • 90b54edcf11fbba3a4d61af7b62212a1.mp4
    5.4 MB · Views: 27
Teke la kuku halimuumizi mwanaye. Si umeona toto lilivyo amka likicheka na kuendelea na mambo yake huku wala halina habari na kilichotokea?? Kamtupe wa kwako kihivyo ukutane na ummy. Nakuambia hata Segerea hapatakutosha
 
Huyu Mama ana ugonjwa wa Afya ya akili.
Na kama anajulikana alipo basi mtoto achukuliwe haraka na mamlaka za ustawi wa jamii kwani kuendelea kuwa mikononi mwa huyo mama kuna siku tutampoteza huyo mtoto.
Na mama akapimwe na kuchunguzwa afya ya akili na apate matibabu husika yakiambatana na matibabu ya hasira jadidi(Anger Management).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom