Viva forever
Member
- Feb 28, 2017
- 18
- 14
Hivi majuzi makampuni ya simu nchini yalikaa meza moja kunywa na kula pamoja. Huku lengo ni kuyakutanisha katika makutano moja. Tigo, halotel, zantel, zain na vodacom kuwa katika hekalu moja! Ni furaha Kama nini kuwa selfie moja ya kibiashara na masirahi. JE, MUUNGANO HUU WA PAMOJA UTALETA MABADILIKO AU FASHENI TU?