Mkurugenzi wa E FM Majizo kufanya Press conference muda mfupi ujao

Linamo

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
9,976
24,494
Taarifa zilizodhibitishwa na E FM ni kwamba Mkurugenzi wao Majizo atakuwa na mkutano na waandishi wa habari Leo.
Haijajulikana anachotaka kuzungumza lakini inahusishwa na kujibu tuhuma za madawa zinazomkabili.
Kaa hapa kwa updates zaidi.
 
Back
Top Bottom