Huduma ya kuhama mtandao bila kuhama kubadilisha line

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,944
2,030
Wadau,

Tuliahidiwa ikifika march huduma hii itaanza ajabu leo tarehe 10 hakuna anayeongelea wala kuiliuzia, binafsi sijapokea tena sms toka kwenye mitandao ya simu kuniarifu kuwa sasa ninaweza anza kuitumia huduma hiyo kama walivyonifanyia Feb kunitumia ujumbe wa kuwepo huduma hiyo kuanzia mwezi huu zaidi ya simu wanazonipigia za matangazo ya huduma zao nyinginezo.
Kama makampuni ya simu yalidhamiria kutuletea hii huduma tafadhali toeni matangazo ya kutosha sisi wadau wenu tuanze kuifurahia hiyo huduma.
 
Endelea kusubili SMS wakati sahiv nimetoka Tigo nipo Airtel
Moral:usisubil vitu vikufuate vifuate
 
Unapewa lain ingine ila namba ile ile,siyo kuhama bila laini,kwa kifupi tulia tu ulipo kwa sababu ni lazima ulipie,wapigaji kidizaini
 
Back
Top Bottom