Reagan Carima
Member
- May 20, 2015
- 44
- 194
Katika maisha yangu numebahatika kuwa karibu na watu wa aina zote jambo linalonifanya kujifunza mengi zaidi. Wanamke katika jamii wamekuwa na mchango mkubwa hasa kutokana na uwezo mkubwa wakiokuwa nao katika utendaji wa mambo.
Kwa sasa mwanamke anahisi kwamba babu zetu waliwatenga sana katika kujishughulisha na jamii jambo linalowafanya wajinasue na kujiingiza kwenye kila kona ya utendaji.
Wakati fulani wamekuwa wakidhani hata kuingoza familia na kumiliki mali sio lazima uwepo wa mwanaume na wengi wao wenye mawazo hayo wana umri kati ya miaka 20- 50.
Kutokana na hali hiyo kumetokea migogoro kwa baadhi yao dhidi ya wanaume jambo linalowafanya washindwe kuwa na mwongozo sahihi katika familia. Na ukifuatilia kwa undani utagundua kwamba watoto wanaokuwa miaka ya hivi karibuni wamekosa malezi imara kutokana na kukosekana heshima kati ya baba na mama.
SWALI KAMA WAO WALILELEWA NA BABU ZETU VILE NA LEO WANA JEURI JE WATOTO WAO WATAWEZA KUENDESHA HIYO JEURI KWA MALEZI HAYA?? AU MWANAUME ATABADILIKA NA KUWA MWANAMKE DESIGN?