MGANGA MCHAWI
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 199
- 393
Nlipohitimu kidato cha 4 na kujiunga kidato cha 5 nilifurahi sana na nlpanga mikakati ya kuhakikisha ninafaulu kwa daraja la juu.Niliamini nitafaulu kwa kuwa nilijua "kama nimeweza kusoma masomo 9 na kufaulu vizuri je haya ma3 si nitapata daraja la kwanza la point 3"?Pia nilishangaa sana kuona watu wanafeli wakati ni masomo machache kumbe sikujua ugumu wa hayo masomo ma3.Baada ya miezi 6 matumaini yakapungua kidogo baada ya kukutana na hali halisi nikajpa moyo kuwa haina shida hata one ya 9 sio mbaya poa tu.Baada ya mwaka hali ikabadirika pia nikasema haina shida hata two ya 12 sio mbaya poa tu.Mwaka m1 na nusu baadae nikajisemea tena hata 3 ya 15 mbona poa tu na kujpa moyo mbona wengi wamepata chuo kwa point 15.Hali ikawa mbaya zaidi wakati nakaribia necta hapo nikasema potelea mbali hata yoyote itakayokuja poa tu kusoma kitu gani mbona unaweza soma na bado maisha yakawa magumu.
Hali niliyoipata nahisi ndio anayokumbana nayo mkuu wa kaya saivi.Hakujua ugumu wa kuwa rais na ndio maana aliahidi vtu vingi sana akiamini vinawezekana kwa kuwa nchi ni tajiri na akibana matumizi na kuimarisha ukusanyaji wa mapato kila kitu kitawezekana.Pia naye alifikia hadi hatua ya kudharau watangulizi wake kwa kushindwa kila anachokiwaza yeye.
Mambo yamebadilika saivi miradi ya maendeleo mingi imesimama kwa kukosa fedha, hali ya maisha imekuwa ngumu mtaani, ajira hazipatikani na bado anaendelea kuharibu sekta binafsi sjui nn kitatokea.Ahadi hazitekelezeki mbaya zaidi hata bajeti yake aliyoiandaa kwa mbwembwe ameshindwa kutekeleza.Hakuna kinachoendelea saivi ni blaa blaa tu.Amekua mtu wa kubadirisha matumizi hela za huku peleka huku na za hapa peleka pale.Nashukuru umeanza kuelewa kuwa mfumo wako wa uongozi umefeli pale ulposema kuwa mawaziri wasisubiri mpaka ww ufike ndo utoe maamuzi hata wenyewe wafanye.Kwa upande wangu hii ni dalili njema sana kwa sababu naamini katika "pyaramid administration" na sio jeshi la mtu m1 kama ilivyo sasa.
Mh mkuu wa kaya usimtafute mchawi nani anaekwamisha mipango yako.Tatizo kubwa la uongozi wako ni kukosa vipaumbele. Na vipaumbele vya nchi vinapangwa kutokana na maono ya kiongozi kwamba ni wapi anataka aipeleke nchi kwa muda fulani.
Mkuu wa kaya niwe muwazi kabisa umekosa maono.Una mikakati mizuri ila umekosa maono na tatizo kubwa umeanza kufikiria kwa kurudi nyuma.Kiongozi mzuri ni yule anayekua na maono kabla ya kuandaa mikakati.Saivi unakurupuka tu mara tununue ndege, mara tujenge uwanja wa ndege chato mara jengo kubwa la TRA chato mara tuanzishe mradi mkubwa wa maji chato mara tuhamie dodoma yani vumbi tu.Kiongozi ukishakua na maono unaweka mikakati mizuri, mwisho mikakati yako unaweka katika utekelezaji kulingana na bajeti.Ila saivi tunatekeleza vtu vngi ambavyo havikuwa kwenye bajeti kitu kinachosababisha bajeti kushindwa kutekelezeka.Tumetenga fedha nyingi kwa ajili ya ajira mpya ila hadi sasa tunadanganya wananchi tunakimbizana na hewa. Bajeti kubwa kwenye dawa na vifaa tiba ila hadi leo ni vilio tu kisa hakuna fedha.Miradi ya maji inasuasua kisa pesa hakuna.Kizuri zaidi unapo agiza fedha zipelekwe sehemu flani wananchi wanashangilia wakijua hizo pesa zilikuwepo tu kwenye akaunti kwa kazi hiyo au zpo nyingi za kutosha kumbe ndio hizo unazotoa kwenye miradi ya maji na kupeleka uko au sehemu flani iliyokuwa kwenye bajeti. Mkuu badirisha uelekeo unakoelekea siko kwenyewe usipokuwa makini unaweza jikuta hakuna ulichokifanya cha maana miaka yote ya uongozi wako au ukaacha hali ngumu ya maisha kwa wananchi kuliko hata ulivyoikuta.
Acha mbwembwe mkuu anza kutekeleza bajeti yako hizi sifa za majukwaani muachie Tundu lisu na Daud Bashite.