Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hapo zamani baba aliniaminisha kuwa ualimu ni moja ya fani adhimu duniani na ni kazi iliyojaa wito, upendo na uvumilivu kwa wanafunzi, na kuwa moja kati ya somo la msingi linalofanya mwl. awe na...
5 Reactions
40 Replies
5K Views
Anaambiwa aonyeshe cheti anasema anajua watu wanamchukia, Hivi kuonyesha cheti imekua chuki siku hizi?Nimeamini hiki kiumbe kinamatatizo... Mimi tayari wew je......
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya watu wana kasumba ya kuteta kwa lugha isiyofahamika vizuri na wote katikati ya mazungumzo ya kundi lenye mchanganyiko wa watu. Nataka kusema kwamba, wakati fulani mnaweza mkawa...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Katiba ya "inji" NO [emoji777] Katiba ya Chama YES [emoji818] Bunge Live NO [emoji777] RC Bashite Live YES [emoji818] CNN, BBC NO [emoji777] SHILAWADU YES [emoji818] Kutembelea wafungwa NO...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Teh teh teh, huu ni ukweli mtupu...mara kwa mara katika group likianza waanzilishi ghafla hunufaika kwa kuitisha michango mbalimbali ya harusi,misiba nk...na hutokea kuna watu hupenda kuhamasisha...
6 Reactions
91 Replies
15K Views
Wanaume wenye six pack wanatumia muda mwingi kubeba vyuma huku mfukoni wapo empty. Uchunguzi huu umethibitishwa na wanawake hamsini niliofanya nao mahojiano. Aidha wanaume hawa wanatabia ya...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada wapi naweza kupata mashine(kiwanda cha kutengenezea chaki) Mi npo songwe naomba wadau mnisaidie namna ya kupata hyo mashine na bei yake lakn pia kikiwa kikubwa ni nzuri zaid...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Najua kuna watu humu watatoa povu kwa kunibishia, lakini si maneno yangu mimi Mtambuzi bali ni utafiti uliofanywa na wataalamu waliobobea. Utafiti uliofanywa hivi karibuni umebaini kwamba...
14 Reactions
62 Replies
70K Views
Kamishna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Simon Sirro amesema kuwa watu wote ambao wanaishi mabondeni watoke mara moja kwa sababu kufanya hivyo ni kuhatarisha maisha na ambaye hatafanya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Picha hii niya mdogo wetu anaitwa Amina Ally Salehe, ni mkazi wa Kigogo karibu na Msikiti wa Shia, polisi post. Ndugu yetu huyu alipata matatizo ya kuugua na wakati mwingine akili...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Huu mwaka 2017 una maajabu yafuatayo; 4/4/2017 ni Jumanne 6/6/2017 ni Jumanne 8/8/2017 ni Jumanne 10/10/2017 ni Jumanne 12/12/2017 ni Jumanne. Kalenda ya 1987 imejirudia...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Kichwa habari kinahusika! Tumezoea kuna katika mitaa yetu, kuna baadhi ya watu wanafahamika sana kwa kuhudhuria nyumba za ibada. Na huheshimika sana hata akisema jambo flani kwa sababu anaonekana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Sijui ni kwanini kila kukicha mkiwa mnatangaza huwa mnalirudia hili Kosa. Leo naomba kuwaulizeni hivi tunapashwa tuseme Ikulu ya Marekani au Ikulu ya White House kama mnavyosema au kututangazia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tumezoea kuona watoto njiti,yaani kuwa kwakawida binadamu wa kawaida anatkiwa azaliwe akiwa na miezi tisa ili aje aweze kupambana na mazingira ya huku duniani. Sasa hivi Tanzania, Africa n...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu Kwanza naomba nikiri kuwa nimemsikiliza RC Dar ila si kwa asilimia 100 kwa sababu ulikuwa ni muda Wa kazi hivyo concentration ilikuwa Nusu nusu. Kila nilipokuwa napata muda Wa kumsikiliza...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, hivi kuna shabihiana nini kunyoa nywele na msiba....? Sio kwa wanaume au wanawake wafiwa huwa mara nyingi wananyoa nywele. Pia kuvaa nguo zenye rangi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sabalkheri wanaJamii forums?. Ni miongo kadhaa sasa nimekuwa nikifanya tafiti zangu binafsi juu ya baadhi ya Waafrika wengi (Zaidi ya 50%) hususan Watanzania juu ya uelewa wa dhati juu ya...
4 Reactions
26 Replies
6K Views
Toka terehe 30th September 2015 majira ya 19:00hrs hamna service maeneo yote ya Ukonga Majohe mpaka sasa. Hii kampuni ina huduma mbovu na haivumiliki. Ukipiga simu huduma kwa wateja simu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom