Kipanya leo 15/3/017..... mmemuelewaje hapa?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,431
12,292
967d0c1f9452673bb2e5abd6bfb1915a.jpg
 
Sururu hupigana na vitu vigumu sasa ccm wameacha sururu wanataka mteremko kwa hoja nyepesi hivyo wamejitengenezea bomu litakalowamaliza wenyewe.
 
Hilo ni gloves ya ndondi mkuu.

Inashiria awamu hii chama kitakuwa ni Cha Wakulima na Wababe badala ya Wakulima na Wafanyakazi.

Hapa Ubabe tu.
Na jembe la kulimia nalo limeota meno. Labda tunaweza kufasiri hivii?
Cartoonist anamaanisha ccm si chama kinachotegemewa na wakulima tena, hakiwasaidii pia kinaendeshwa kibabe.
 
Back
Top Bottom