mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
Wanaume wenye six pack wanatumia muda mwingi kubeba vyuma huku mfukoni wapo empty. Uchunguzi huu umethibitishwa na wanawake hamsini niliofanya nao mahojiano.
Aidha wanaume hawa wanatabia ya kuazima pamba na kufuafua vishati vyao frequently. Uwezo wao katika kuhonga ni mdogo sana ndiyo maana muda mwingi anashinda gym.
Tathmini inaonesha wanaume mabonge ni wajanja kutafuta pesa na kuhonga lakini uwezo wao kitandani ni mdogo