Naomba msaada wapi naweza kupata mashine(kiwanda cha kutengenezea chaki)

Ben baba

Member
Dec 31, 2015
69
34
Naomba msaada wapi naweza kupata mashine(kiwanda cha kutengenezea chaki)
Mi npo songwe naomba wadau mnisaidie namna ya kupata hyo mashine na bei yake lakn pia kikiwa kikubwa ni nzuri zaid.

Natanguliza shukrani

Back
Top Bottom