Tukutane wote wenye vyeti origino hapa

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,588
11,668
Anaambiwa aonyeshe cheti anasema anajua watu wanamchukia, Hivi kuonyesha cheti imekua chuki siku hizi?Nimeamini hiki kiumbe kinamatatizo...

IMG_20170315_193945.jpg

Mimi tayari wew je......
 
Leo katumia gharama kuwalipa wasanii n.k, na bado anataka kutumia milions of money kuwapeleka waandishi wa habari wakakutane na wanakoromije feki.
Angeonyesha vyeti nadhani angejibu maswali mengi ya watanzania kwa dk 5 tu
 
Anaambiwa aonyeshe cheti anasema anajua watu wanamchukia, Hivi kuonyesha cheti imekua chuki siku hizi?Nimeamini hiki kiumbe kinamatatizo...

View attachment 481416

Mimi tayari wew je......
Huyu jamaa atakuwa muuza stationery sasa kashika vyeti vya wanachuo wa chuo cha "International college of tourism management and Pilot studies" kinachopatikana kwa mtogole karibu na popobawa.

Maana vyeti original vina thamani kubwa sana Kiasi kwamba huwezi kuvishika kama kikaratasi cha wale jamaa wanaotangaza mganga bora wa tiba za kiume na ugumba pamoja na kuungani isha watu na Freemason.
 
Mkuu wewe Ndo mwenye hivyo vyeti?Naona umesoma Local Government training( Hombolo) ww ni mtendaji wa Kata Itakuwa.
 
Huyu jamaa atakuwa muuza stationery sasa kashika vyeti vya wanachuo wa chuo cha "International college of tourism management and Pilot studies" kinachopatikana kwa mtogole karibu na popobawa.

Maana vyeti original vina thamani kubwa sana Kiasi kwamba huwezi kuvishika kama kikaratasi cha wale jamaa wanaotangaza mganga bora wa tiba za kiume na ugumba pamoja na kuinganisha watu na Freemason.
Kichwa chogo
 
Anaambiwa aonyeshe cheti anasema anajua watu wanamchukia, Hivi kuonyesha cheti imekua chuki siku hizi?Nimeamini hiki kiumbe kinamatatizo...

View attachment 481416

Mimi tayari wew je......

Kwa mtu mwenye akili kichwani na msomi huwezi fanya ujinga kamaa huu...ukishaonyesha vyeti orginal itakusahidia nini au unadhani hatujuia kwamba vingine ni origila ila vinatolewa kwa kuonyesha wenzio 0713?,hizo ni akili za ngada....Na mwenye nchi kesh sema hata mtembee uchi Dar ni makonda na makonda ni Dar....Wambie waliokutuma waache kuuza Madawa ya kulevya wanatuharibia vijana....
 
Huyu jamaa atakuwa muuza stationery sasa kashika vyeti vya wanachuo wa chuo cha "International college of tourism management and Pilot studies" kinachopatikana kwa mtogole karibu na popobawa.

Maana vyeti original vina thaasana Kiasi kwamba huwezi kuvishika kama kikaratasi cha wale jamaa wanaotangaza mganga bora wa tiba za kiume na ugumba pamoja na kuinganisha watu na Freemason.
Majungu na wivu vimekutawala, kwanini vyeti halisi haviwezi kushikwa hivi?
 
Kwa mtu mwenye akili kichwani na msomi huwezi fanya ujinga kamaa huu...ukishaonyesha vyeti orginal itakusahidia nini au unadhani hatujuia kwamba vingine ni origila ila vinatolewa kwa kuonyesha wenzio 0713?,hizo ni akili za ngada....Na mwenye nchi kesh sema hata mtembee uchi Dar ni makonda na makonda ni Dar....Wambie waliokutuma waache kuuza Madawa ya kulevya wanatuharibia vijana....
acha ujinga kwani wewe unavyoenda kwenye interview si unapeleka vyeti original? Je wale wanaoviona unawajua?

Bashite alete vyeti. asante mleta uzi.

Mtu anashindwa nn kuonesha vyeti kama kweli anavyo?

Kama hujui lolote kaa kimya uoni lizaboni na faiza hawachangii kwenye uzi wa vyeti feki? Umeshajiuliza kwa nn?

Asitumie nguvu nyingi aoneshe vyeti mambo yaishe.

hatutaki watu wanaomkwamisha mh ndalichako kwenye hili zoezi la vyeti feki.
 
Mamluki ya wauza ngada. Vyeti vinaoneshwa ovyoovyo? Na akuoneshe ww nani na ili iweje? Wewe una nafasi gani katika ajira na katika uwajibikaji wake?
 
Back
Top Bottom