Wachambuzi wa misiba njooni

kamanda mbigi

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
1,241
1,546
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, hivi kuna shabihiana nini kunyoa nywele na msiba....?
Sio kwa wanaume au wanawake wafiwa huwa mara nyingi wananyoa nywele.

Pia kuvaa nguo zenye rangi nyeusi japo siku hizi tunakuja kuja mpaka kwenye rangi nyeupe.

Naombeni kujuzwa hili....
 
Hatunyoi nywele siku hizi. Tena msiba ukitokea siku ya mazishi tunaenda kushonea au kusuka nywele mpyaaaa za gharama. Life is too short!
 
hali ya kunyoa nywele inachukuliwa kama sehemu ya kuomboleza msiba...hayo ni mapokeo ya miaka mingi sana but baadhi hawayafuatilii..ref kwenye biblia kitabu cha esta watu wa kabila lake walipotangaziwa kuuliwa..walirarua mavazi yao wakanyoa vichwa vyao na kujivika magunia na majivu wakiomboleza..
 
ukiona kanyoa nywele zote afu alikuwa rasta we jua alikuwa na mpango huo wa kubana matumizi ya kuzitunza saloon ko anakuwa kapata sababu eti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom