Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752
Tumezoea kuona watoto njiti,yaani kuwa kwakawida binadamu wa kawaida anatkiwa azaliwe akiwa na miezi tisa ili aje aweze kupambana na mazingira ya huku duniani.
Sasa hivi Tanzania, Africa n pengine duniani kote kuna ombwe la viongozi njiti. Yaani wanapata uongozi wakati ambo akili zao zilikuwa bado hazjakomaa ili kupambana na mazingir ya uongozi.
Hii ni hatari san kwa meendeleo y taifa. Mtoto njiti huwekwa kwenye kifaa maalumu ambacho hujulikna kma incubator ili kumuwezesha kumalizia badh ya htua za ukuaji .
Kuna haja ya marais na viongozi waliotngulia kuwa km incubator kwa viongozi wetu.
Kuna kuali unaweza kuzitoa au kun mambo unaweza kufnya mim nikkuita, mbunge, gavan, au hata rais njiti!.....