Watangazaji wa Tv na Radio nchini Tanzania mnatuchanganya!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
60,043
119,616
Sijui ni kwanini kila kukicha mkiwa mnatangaza huwa mnalirudia hili Kosa.

Leo naomba kuwaulizeni hivi tunapashwa tuseme Ikulu ya Marekani au Ikulu ya White House kama mnavyosema au kututangazia?

Nitashukuru nikipata ufafanuzi ila Watangazaji wa sasa wa tv na radio mnatia sana aibu tasnia nzima ya Utangazaji kwani mna mapungufu yasiyotatulika hadi Kiama.
 
Kuna uzi unaitwa Raisi regeza kamba Jamaa anaitwa lupyee kauleta usiku huu...mleta mada kausome vizuri utapata majibu yako.
 
Back
Top Bottom