Kalenda ya 1987 imejirudia 2017.Angalia hapa matukio

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Huu mwaka 2017 una maajabu yafuatayo;
4/4/2017 ni Jumanne
6/6/2017 ni Jumanne
8/8/2017 ni Jumanne
10/10/2017 ni Jumanne
12/12/2017 ni Jumanne. Kalenda ya 1987 imejirudia tena 2017, Tarehe, siku na matukio, vyote vinafanana. Endelea kufurahia 1987 ndani ya mwaka 2017.
 
Daah...kwahiyo naishi mwaka wangu wa kuzaliwa tena...huku nikiwa na mindevu
 
Daah...kwahiyo naishi mwaka wangu wa kuzaliwa tena...huku nikiwa na mindevu
In kila baada ya miaka 28 calendar inajirudia 100% .jumatano march 2017 ,itasomeka hivyo 2045! Fanya utafiti.
 
Calendar hujirudia @ baada ya miaka 28.
Mfano tarehe 15 march 2017 ni Siku ya juma tank.
Vilevile tarehe 15 march 2045 ni Siku ya jumatano.

JF the Great college.
 
Huu mwaka 2017 una maajabu yafuatayo;
4/4/2017 ni Jumanne
6/6/2017 ni Jumanne
8/8/2017 ni Jumanne
10/10/2017 ni Jumanne
12/12/2017 ni Jumanne. Kalenda ya 1987 imejirudia tena 2017, Tarehe, siku na matukio, vyote vinafanana. Endelea kufurahia 1987 ndani ya mwaka 2017.

Una uhakika tarehe 6/6/1987 ilikuwa Jumanne?
 
Back
Top Bottom