Maajabu ni mengi sana

Tanzania Nchi Yetu Sote

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
505
871
Katiba ya "inji" NO
Katiba ya Chama YES
Bunge Live NO
RC Bashite Live YES
CNN, BBC NO
SHILAWADU YES
Kutembelea wafungwa NO
Kuombewa YES

Sorry, unaongea na mimi au unaongea na simu? Inasemekana eti Ubuyu umefika hadi kwa mkuu. Yani mkuu anasikiliza habari za msambwanda wa Gigy Money na Amber Lulu.. Inasemekana lakini... Shilawadu nyie shilawadu.!!

By *Malisa*
 
Inasemekana etii........ clouds tv eti..... ndo chanell ya taifa izi ni habar kutoka kwa snitch mzur mzur na imethibitisha na mkuu wa taifa la walala hoi ivi asubuh ktk kpnd cha 360
 
Hahahaha mkulu yuko busy kufatilia habari za shishi baby na beef la lulu na hamisa.

Unaongea na mimi au unaongea na simu?
 
Back
Top Bottom