Nimechoshwa na huduma zenu uchwara startimes Tanzania

wembeee

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
2,708
1,353
Toka terehe 30th September 2015 majira ya 19:00hrs hamna service maeneo yote ya Ukonga Majohe mpaka sasa. Hii kampuni ina huduma mbovu na haivumiliki. Ukipiga simu huduma kwa wateja simu haipolekewi wanakuunganisha na mziki pasipo kujali kuwa unatumia gharama. Kama mmeshindwa kutuhudumia mbona malipo yetu ya mwezi mnapokea???

Note Nimechoshwa na utapeli huu na najuta kununua king'amuzi hiki
 
Yani hawa jamaa hata sijui kama kweli wako serious na wanachokifanya. Yani huduma zao ni bora zile enzi za kuzungusha antena kuliko wao. Mtu unalipia ila huduma ni mbaya kuliko zinazotolewa bure
 
Wana thread yao hapo juu, ila hawajajibu maswali ya watu kwa miezi kadhaa sasa. Hivi hii kama sio dharau ni nini??
Cc: startimes Tanzania
 
Last edited by a moderator:
Hii ndiyo matokeo ya vitu vya bei rahisi vina adhaa yake,kuna uzi niliuona humu wanajamvi wanalalamika DSTV nao kuanzia leo wamepandisha gharama zao sijui tujiunge na kituo gani cha TV kilichokuwa na afadhali.
 
Siku hizi chaneli zA bongo inabidi ulipie ili uone.. za bure zimebaki Tbc 1 n Tv 1... Ila wameshindwa kusema kama ni serikali imebadili sheria ama ni wao wenyewe..
 
Local chaneli ktk TZ ni TBC1 na TV1 Hii ndo Tanzania
" class="bbImage lazyload" data-zoom-target="1" style="" alt="" title="" width="" height="" />
 
Nimeuza cha azam nikataka kununua startimes kumbe magumashi, ninunue king'amuzi kipi sasa?
 
Jamani address ya wahusika wa startime nataka nikate rufaa maana nimenunua king'amuzi wiki moja iliyopita mkoani mbeya kikiwa kwenye Tv lakini kusajiri napigwa danadana nikipiga customer care wananiuliza maswali magumu na hawazingatii kwamba nakatwa salio wakala ananiambia mara baadaye oooh sipo ofisini nk.no ya dekoda 29422816408004744 kadi no 01819395449 naomba msaada kwayeyote anayehusika nifungulieni ili nisajili kwa simu yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom