Kukataliwa!
Umewahi kukataliwa? Kukanwa? Kutoswa? Kuachwa? Na yanayofanana na haya! Kifupi ni ile hali ya kutokukubalika tena! Wengi wanaichukia hali hii, hawaipendi, inawaumiza, lakini nakusihi...
Hili swali nimekuwa nikijiuliza sana, kila mtu anataka Mshahara mkubwa bila hata ya kuangalia hali ya halisi ya Uchumi wa nchi, kuna watu wanataka walipwe milioni 20 - 40 kwa mwezi kwenye masikini...
Nilicho kiona hapa in kuwa baada ya mashindano warembo hutelekezwa na kutegemea nguvu zao kujiweka sawa.
Ni muda muafaka WA kuwa na njia mbadala ya kuwapa platform kulingana na vipaji vyao ili...
Siku chache zilizopita, Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amezindua taasisi yake. Kabla yake, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kuzindua yak wake na kabla yake Baba wa taifa Mwl Nyerere alizindua ya...
Wana bodi,
Nina ndugu yangu yupo Europe kwa muda mrefu sasa na tayari ameshachukua passport ya huko ingawa hajaukana utanzania wake.
Sasa amehamasika kuwekeza nyumbani na kwa kuanzia anataka...
I
-----
Leo Jumatatu, Machi 13 ndiyo siku ambayo zile kesi zilizofunguliwa Mahakama Kuu (sehemu tofauti) na Mawakili Godfrey Wasonga (Dodoma) na Onesmo Mpinzile (Dar es Salaam) kupinga uchaguzi wa...
Habarini wana janvi, Nimejikusanya kwa kipindi sasa, na nimefikia uamuzi wa kununua gari ila tatizo langu ni kuwa sijui gharama za ushuru wa magari hapo TRA. nataka ninunue gari ya mwaka 2004...
Habari zenu wadau,
Kuna habari inasambaa kuwa, kuna maafisa wa mgodi wa GGM walienda kula maisha huko Rubondo siku ya jana Jumamosi, bahati mbaya wakiwa wanaendelea kutumia vinywaji vyao,mmoja...
Labda kwasababu ndio kitovu cha utalii East Africa au hali ya hewa!! Aisee, kuna watu wazito, matajiri wa ulaya i.e. Mark Zukerberg na wanasiasa wa US, kina Snooop Dog n.k. wanakuja kimya kimya...
Wakuu,
NImepita hapa eneo la Buguruni kwenye kiwanda cha Said Salim Bakheresa & Co Ltd ambapo reli ya kati imekatiza kwenye barabara ya Mandela kuna zoezi la bomoabomoa linaloendeshwa na kampuni...
Habari zenu wana jukwaa?
Nina ndugu yangu amepata mwaliko Sweden,tatizo hana uzoefu wowote na mambo ya kuomba viza.
Ninaomba msaada kwa yoyote mwenye uzoefu juu ya mambo haya tuwasiliane kwa pm...
Issue hii ya kusikitisha imeshuhudiwa na mwigizaji Irene Uwoya na ndio aliyepost mtandaoni.
Mzungu aliyemgonga wala hakujali naye kaenda nyumbani kwake kulala kama vile kagonga mbwa,halafu...
Haina maana kuita Mabasi ya MwendoKasi hali ya kua hayapewi kipaumbele katika junction za barabara.
Unakuta mabasi ya MwendoKasi 10 yamepanga foleni yanasubiri askari usalama aruhusu magari...
Wana Jf
Huyu Rais mstaafu lazima tumkubali pamoja na mengine ambayo wengine hawaweI kutambua ila kwa majanga na mafuriko alikuwa mwenyewe, alikuwa Rais mpendwa na mpenda watu sana hata wakuu wa...
Naanza kupata shida na hofu kwa baadhi ya viongozi wa dini ktk kuingia ktk siasa, kuna kiongozi mmoja wa dini alitajwa ktk inshu flan flan, ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si...
Kuna tabia naona inazidi kushika kasi kwenye Mabasi ya Mwendokasi nayo si nyingine ni ya wazazi kuwaacha watoto wadogo ambao ni wanafunzi umri kati ya miaka 5 hadi 6 kusafiri peke yao bila...
Habari wana bodi wenzangu, juzi nilisoma pahara katika mitandao ya kijamii nitakutana na habari ya Rais wa Marekani bwana trump kua kamsifia Mh Rais wetu Dr Magufuri, na habari hiyo ikasemekana...
Nimeamua kwa moyo safi kusafiri na ATCL kwa sababu nyingi tu, ambazo sitazitaja sababu ni uamuzi binafsi.
Kilichonisikitisha sana ni kwamba bado mko usingizini, business as usual!
Kwa muda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.